image
Jua zaidi Kuhusu Sisi

GLOBAL WORKS LIMITED

Global works limited ni kampuni binafsi ambayo imeundwa na timu ya wataalamu katika Nyanja mbalimbali za ardhi. Utaalamu wetu unatuwezesha kupima, kupanga, matumizi bora ya ardhi kama sera ya taifa inavyoelekeza. Vilevile tuna utaalamu wa kusimamia na kuendeleza rasilimali majengo.


  • imageMAONO

      Ni kuona jamii inaishi katika mazingira yaliyopangiliwa yenye uwiano na mifumo ya ekolojia.

  • imageDHAMIRA

      Ni kushirikiana na jamii vijijini na mijini kwa kuwawezesha kupima na kuendeleza huduma za ardhi pamoja na kusimamia rasilimali majengo na kutoa huduma kwa ajili ya maendeleo na maisha bora ya jamii.

  • image DHIMA

    Kutoa ushauri katika masuala ya ardhi na matumizi yake.

    Kuandaa michoro ya upimaji ardhi

    Kutafuta masoko na kuuza ardhi iliyopimwa na ambayo haijapimwa

    Kufanya kazi ya ujenzi wa majengo na barabara

    Kuwa na akiba ya ardhi kwa ajili ya soko la baadae.


TUNAJISHUGHULISHA NA KAZI ZIFUATAZO

image
1

Kupanga na kupima ardhi.

image
2

Uthamini wa ardhi na nyumba.

image
3

Kuuza na kununua viwanja na mashamba.

image
4

Kuwezesha upatkanaji wa hati miliki.

image
5

Utaratibu wa uhamishaji wa umiliki ya ardhi.

image
6

Uchapishaji wa michoro ya ardhi na nyumba.

image
7

Uandaaji wa mipango ya matumizi bora ya ardhi.

image
8

Uandaaji wa michoro ya ardhi na nyumba.

image
9

Ujenzi wa majengo na barabara.

image
10

Kukodisha na kupangisha nyumba.

image
11

Ukodishaji wa vifaa vya kupima ardhi.

image
12

Ushauri wa kisheria kuhusu ardhi.

Jisajili Kwa habari

Jiunge Nasi kupata habari zaidi